hiyo bettery icon ndo siioni mkuu?OK njia rahisi ni RIGHT CLICK, kwenye battery icon then Kuna options mbili we chagua adjust brightness then hapo unaweza kuongeza na kupunguza mwanga, hope itakusaidia!
NB:for windows based laptops only!
Pirate
dELL LAPTOP MKUU!OK maybe sikukuelewa, unatumia laptop / desktop??
Pirate
KAKA MMI, NATUMIA dell E5400 platform means?Ni platform gan unayotumia kwenye laptop yako?
Pirate
sjui kaka mm natumia lptopp hyo mengine sjui mkuuAaahh OK mean Operating systems kaka!!
Pirate
OK, kwenye keyboard hapo Kuna button imeandikwa FN (function key) uwa inakuwa baada ya windows key, ibonyeze iyo usiiachie Kisha bonyeza (FI au F2) au hiz zikishindwa bonyeza(F7 au F8) hiz zote unavyobonyeza bonyeza Mara nying nying NAMAAMISHA HAPO KWA MFANO f8 KUWA UNABONYEZA NA KUACHIA, hizo f1 ad f9 zipo juu, yaan katika row ya kwanza kabisa zimeandikwa piasju
sjui kaka mm natumia lptopp hyo mengine sjui mkuu
asante kaka, mkuu! imekuwa sawa kbsaaaaaaaaaaa! thinks very much mkuu!Au pia hapo kwenye desktop ( mwanzon kabisa baada ya kuwasha pc yako kabla ujaingia kwenye application au folder lolote) upande wa chini kulia Kuna icon ya bettery kama inavyoonekana kwenye picha hapo bonyeza Kisha chagua adjust screen brightness then ongeza hapo
Pirate
thnksKarbu sana
Pirate