Tatizo liko wapi?

Jilanga

JF-Expert Member
Feb 13, 2011
255
40
Tanzania ni nchi ilojaa raslimali kemkem! That is natural resources, human resources, as well as man made/capital resource but still our economy is doing poorly! Now I wish 2hear from u WanaJF! Je wataalam wa uchumi wanatimiza wajibu wao ipasavyo ka ndo tatizo ni nini na kama si tufanyeje basi? Je serikali inatumia wachumi ipasavyo? ikiwa ndio tatizo ni nin na kama sio nini kifanyike? Nahisi mika michache ijayo uchumi wetu unaweza kuwa na hali mbaya zaidi!
 
Back
Top Bottom