APA CHICAGO
JF-Expert Member
- Oct 20, 2019
- 259
- 292
Namba 1 ulitaka Mbowe Mugabe aendelee na U-DJ!Tatizo letu lipi lilianzia hapo?
1. Watu kukimbia fani zao na kukimbilia siasa?
2. Kuwa na gap kubwa kati ya walionacho na wasionacho?
3. Kuwa na mkuu asietaka kusikiliza ushauri wa mtu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mnajua kwamba kujadili mshahara na marupurupu ya Kiongozi wa umma ni kosa kisheria...
Mkuu wacha walipwe tena hiyo ni ndogo, pambana uwe mbunge acha wivu
[/QUOTE
Umejuaje kuwa mm sio mbunge?
Mm nimesema kwa kuwa ni mzalendo wa kweli.
Mkuu Fuso kwa hiyo Esther Matiko alifanya kosa? Kusema wanalipwa 120,000/=na 220,000/= per day Wakiwa kazini Dodoma? Total 340'000/=Mnajua kwamba kujadili mshahara na marupurupu ya Kiongozi wa umma ni kosa kisheria...
Kujua mshara wa kiongozi uliemchagua ni wivu? Dahaaa.....Mkuu wacha walipwe tena hiyo ni ndogo, pambana uwe mbunge acha wivu
Nilichokisema leo asubuhi mnaweza kukubali au kukataa Ila ukweli utabakiBaba wa taifa hayati mwalimu JK -Nyerere aliwahi kusema tuko vitani bahati mbaya tumechagua silaha ambayo hatuna wengi wetu. Silaha yenyewe tumechagua ambayo wengi hawana SILAHA hiyo ni FEDHA.
Kuna siku moja niliweka hapa post inayoonesha posho na allowance ya Mbunge mmoja Dodoma per day ni laki tatu na arobaini. Post hiyo haikukaa hata dakika chache ikafutwa kabisa japo andishi langu lilitokana na analysis ya Mhe.Esther Matiko alivyoonesha jinsi wanavyolipwa.
Kwa hakika kwangu nikaona kama kuna watu wanaishi Dodoma na kulipwa take home ya karibu 340000 kwa mwezi na wanaishi kwa kweli nikaona kuna kitu hakiko sawa. Bado hujazungumzia mishahara minono ya wabunge, na malupulupu mengine.
Kimsingi matatizo tuliyo nayo katika nchi zetu za kiafrika kwa kiwango kikubwa naweza kusema yanaletwa na kipato kikubwa cha Wabunge wanachokipata wakati wa utumishi wao bungeni.
Naweza hitimisha kwa kusema malipo na malupulupu makubwa ya Ubunge ndipo tatizo letu lilipoanzia nawasilisha kwa great thinkers.
Mkuu kizaizai unakumbuka Mhe.Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr.John Pombe Joseph Magufuli kuna watu aliwaita VILAZA? Basi huyu MIXOLOGIST anaweza kuwa aina ya viumbe hivyo.Kujua mshara wa kiongozi uliemchagua ni wivu? Dahaaa.....