Sasa we Mfalme hiyo ban si unaomba mwenyewe! nani kakuambia kuwa anayeomba msaada ni mwanamke?!?Usinipige ban,nakushauri kimbia baharini halafu mwambie shem anywe hata mchuzi wa pweza na matikiti maji akuchezeshe dushelele la masaa matatu hivi,then utaniambia utachelewa asubuhi mzigoni mwambie jirani akuamshe ikifika saa kumi na mbili asubuhi otherwise utakuja stuka saa nne asubuhi fanya hivyo kwa wiki nzima then acha utaendelea kupata usingizi mzito,acha kula kahawa na vinywaji vya cola mida ya usiku,jitahidi kuuchosha ub ongo b4 kulala.soma novel zenye vingereza vigumu etc
It could be. Ila niliongea na dada fulani ambae anaujuzi kidogo and she was not worried. Ngona nijaribu lakini maana 5 month is just too much.Kwa kuwa sayansi ya dawa imekataa, kuna uwezekano unasumbuliwa na sayansi ya saikolojia. jaribu kuwaona washauri nasaha. labda kuna sehemu ya akili, imeathiriwa na kitu fulani na kuathiri saikolojia. wanaweza kukusaidia
Kawaida yangu hua sinywi cofe, tea wala soda... Maisha yangu yalivyo, kila siku lazima nisome na niandike sana. Hata usiku nisipo lala inabidi niendelee kwa kusoma tu hivyo vitabu vya kiingereza kigumu.Usinipige ban,nakushauri kimbia baharini halafu mwambie shem anywe hata mchuzi wa pweza na matikiti maji akuchezeshe dushelele la masaa matatu hivi,then utaniambia utachelewa asubuhi mzigoni mwambie jirani akuamshe ikifika saa kumi na mbili asubuhi otherwise utakuja stuka saa nne asubuhi fanya hivyo kwa wiki nzima then acha utaendelea kupata usingizi mzito,acha kula kahawa na vinywaji vya cola mida ya usiku,jitahidi kuuchosha ub ongo b4 kulala.soma novel zenye vingereza vigumu etc
Asante Sinziga... sidhani kama ni JF b'cause at times nakaa sana bila kuingia majukwaani huku (nakaa kumoderate peke yake) na bado ninaendelea kukosa usingizi...Ok, najua ni JF ndiyo source, haipiti siku bila kuchungulia, ukipumzika kidogo unawaza JF, then unachukua kalaptop chako unakata 3 hrs, ukitoka kidogo unakumbuka Mamdenyi unarudi tena JF...unakutana na The Boss na uzi wake...so mi nadhani You need to tatal shutdown of ya PC/Lap(hapa haijalishi wewe ni MOD au la, pls do it) then jishughulishe na michezo like Pulltable au anything kwa mazingira yako then watch out within some weeks, dawa hazitakusaidia coz JF imekuharibu sana.
Mi mwenyewe nilipata hili tatizo nikaachana na JF nikapona kabisa. By the way pole na upone haraka.
My Regard!!
Sasa we Mfalme hiyo ban si unaomba mwenyewe! nani kakuambia kuwa anayeomba msaada ni mwanamke?!?
Sio rahisi sababu nimesha jitoa kabisa katika community. Siwezi kukaa na watu bila kukereka. Sasa mtandao umekua ni sehem ya kukutana na watu wa mbali ambao so long as naamua wakati wa kuwasoma na kuwanyamazia hakuna shida. Kukaa mbali na mtandao maana yake kujikata sasa 100% from the world... Usiku mida ya kulala situmii comp, ila inakua tu karibu yangu nikiangalia movie, nikisikiliza mziki au hata nisopi fanya chochote, niione tu.Weka computer mbali na wewe ikikaribia mida ya kwenda kulala . Soma bibilia kama we ni mkristo alafu sali , utalala vizuri mno .
Of course. Na ndio kilicho nifanya niache kumeza dawa. kwanza hata usingizi unao upata ni kama unazimika tu but haupumziki, unaamka so tired! nimeacha dawa.Pole RR!
Kwa anga hizi sina utaalamu sana, lakini vilevile utumiaji wa madawa kama piritone si mazoea mazuri...nakushauru fanya njia nyingine lakini si kumeza madawa ya kukupa usingizi wa siku moja, then next night uko back to square one
Rev, any advice?
Ushahuri wa King Kong III??? haya bwana. :lol:Soma Ushauri wa King Kong III
Kingine penda kufanya mazoezi ya mwili, kama jogging na kunywa maji mengi kabla hujalala. Water therapy can help you a lot