natumia nokia X2-01, nilikuwa nikitumia whatsapp kwenye hii simu hapo kabla now nimerestore hii simu....nimejaribu kudownload tena whatsapp lakini kila nikiingiza namba ya simu inakataa ingawaje application nyingine zinakubali...msaada nn tatizo
ndo hiyo ninayodownload na ndo inakataa