baz kaiza
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 11,495
- 12,105
Watanzania sisi ni watu wa kupenda kulaumu kuliko Kuwajibika nafikiri hili linaweza kua ndio tatizo kubwa sana la wananchi wa Tanzania. Mfano alikuepo Magufuli lawama zilikua kama zote hata ambao hawakumpigia kura malalamiko yalikua mengi sana. Rais Samia huyu hapa malalamiko kama yote. Ila uwajibikaji ni zero sisi kulalamika tu.
Najua Oktoba 29 hakuna maandamano nenda Ukatiki urudi kulala sisi ni Watu wa kulaumu lakini sio kuwajibika. Mfano Polepole alivyokua anakosoa wakasema yuko nje ya Nchi anakosoa akiwa amejificha nje ya Nchi aje hapa Tanzania aya Sasa tumekuja kujua alikua Tanzania lakini Lawama zinamrudia tena Polepole unawezaje kukosoa serikali ukiwa Tanzania.
Sisi ni watu wa Lawama tu Tukijifunza uwajibikaji tutawawajibisha Viongozi tunaona hawafai.