bigest
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 340
- 166
Poleni na majukumu ya hapa na pale ndugu wana jamvi, kama nlivyoeleza hapo juu week iliyopita,nlipewa namba ya nida, chaa ajabu kila napoenda,kusajiri lain yangu kwa alama za vidole, hakuna kidole kinachokubari , leo nmeenda vodacom na kupewa fom niijaze na kuirudisha nida, nlivyofika nida na kuwapa ile fom nmeambiwa niende tena baada ya mwezi,
Swali: hivi ni mimi naepata tatizo hili la vidole kutokusoma kwenye kifaa cha kusajiri alama ya vidole? Au hii changamoto na wengne imewatokea? Na hii njia nliyotumia je kuna mwana jamvi ameshapita na changamoto hii?
Asante
Sent using Jamii Forums mobile app