enjai ya kyasha
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 3,065
- 3,585
Tumsaidie sasa kwa kump a ushauri namna ya kufanyaUnakuwa chaputa unategemea utapata matokeo gani?
Hivi kweli unakaa na mwanaume mwenzio anaanza kukusimulia habari za uume wake ? we ni mkewe ?Mkuu ushauri gani huu wa kibilization
Dahaa,, jamaa kwa Kiki,,,, et rafik,, Sema utibiwe,,, wapo washaur wazur hum,,simzulie rafiki yako uongo
Mwenyewe ndio unapiga na una matatizo hayo..
-Mond-
Ndugu yangu mi ni mtu wake wa karibu kwa hiyo anapopata janga lazima anishirikishe tuone tunalitatua vipHivi kweli unakaa na mwanaume mwenzio anaanza kukusimulia habari za uume wake ? we ni mkewe ?
Mkuu mi punyeto nliacha form onesimzulie rafiki yako uongo
Mwenyewe ndio unapiga na una matatizo hayo..
-Mond-
Sante sana mkuu kwa ushauri wakoKutokana na maelezo yako nimeamini sasa
"Upigaji wa punyeto haumuachi mtu salama"
Mazoezi ya kutosha, ushauri wa kitabibu (counseling) na diet yenye mpangilio vihusike kwa sana hapo
Mlonge unapatikana wapi mkuuachukue majani ya mlonge achemshe anywe kwa wiki nzima kutwa mara mbili af acwe na papala wakati wa game na aache chaputa
Poa kiongoziSante sana mkuu kwa ushauri wako
Tunaomba linksKuna thread nyingi sana,na hata google kuna njia za kuacha punyeto na namna ya kufanya hili kuwa normal.
Hii tiba inawafaa na walipathirika kutokana na Kisukari?Kutokana na maelezo yako nimeamini sasa
"Upigaji wa punyeto haumuachi mtu salama"
Mazoezi ya kutosha, ushauri wa kitabibu (counseling) na diet yenye mpangilio vihusike kwa sana hapo
Mkuu ni rafiki yangu ningekua Mimi ningekuja direct kwana naogopa mini?Awali ya yote nakupongeza sana kwa kuwa na urafiki na we mwenyewe.
NB: Hapo mwisho umejipa kaushauri kazuri, kafuate utapona.
Mwambie anunue mdalasini atafune asubui na usiku ndani ya siku tatu tu akupe majibu.Wasalaam bandungu
Kichwa cha habari chajieleza.Nina rafiki yangu ambaye kwa kipindi kirefu amekuwa mwanachama wa CHAPUTA(chama cha punyeto Tanzania) kutokana ufuasi wake uliotukuka kwenye hicho chama kumempelekea uume wake kushindwa kusimama imara(kulegea) hata ukisimama mda mfupi tu unalala, na tatizo kubwa linakuja pale anapokuwa anagegeda: kwanza anawahi kumaliza, pili inamchukua mda mrefu kurudia round ya pill.Kwa hiyo bandugu naombeni tushirikiane kumshauri huyu ndugu yetu njia anazoweza kutumia(ziwe natural au kama kuna tiba mbadala ila sio vumbi la Katanga) ili aweze kurejea kwenye hali yake ya kawaida.
Natanguliza shukrani
Nb:punyeto ni hatari kwa urijali wako do it responsibly.