Tatizo la uume kushindwa kusimama imara

enjai ya kyasha

JF-Expert Member
Apr 6, 2017
3,062
3,584
Wasalaam bandungu
Kichwa cha habari chajieleza.Nina rafiki yangu ambaye kwa kipindi kirefu amekuwa mwanachama wa CHAPUTA(chama cha punyeto Tanzania)

kutokana ufuasi wake uliotukuka kwenye hicho chama kumempelekea uume wake kushindwa kusimama imara(kulegea) hata ukisimama mda mfupi tu unalala, na tatizo kubwa linakuja pale anapokuwa anagegeda:

kwanza anawahi kumaliza,
pili inamchukua mda mrefu kurudia round ya pill.

Kwa hiyo bandugu naombeni tushirikiane kumshauri huyu ndugu yetu njia anazoweza kutumia(ziwe natural au kama kuna tiba mbadala ila sio vumbi la Katanga) ili aweze kurejea kwenye hali yake ya kawaida.
Natanguliza shukrani

Nb:punyeto ni hatari kwa urijali wako do it responsibly.
 
Kuna thread nyingi sana,na hata google kuna njia za kuacha punyeto na namna ya kufanya hili kuwa normal.
 
Kutokana na maelezo yako nimeamini sasa
"Upigaji wa punyeto haumuachi mtu salama"

Mazoezi ya kutosha, ushauri wa kitabibu (counseling) na diet yenye mpangilio vihusike kwa sana hapo
Hii tiba inawafaa na walipathirika kutokana na Kisukari?
 
Awali ya yote nakupongeza sana kwa kuwa na urafiki na we mwenyewe.

NB: Hapo mwisho umejipa kaushauri kazuri, kafuate utapona.
Mkuu ni rafiki yangu ningekua Mimi ningekuja direct kwana naogopa mini?
After all tunatumia IDs fake kwa hiyo siwezi ficha sema nataka tumsaidie rafiki yangu
 
Wasalaam bandungu
Kichwa cha habari chajieleza.Nina rafiki yangu ambaye kwa kipindi kirefu amekuwa mwanachama wa CHAPUTA(chama cha punyeto Tanzania) kutokana ufuasi wake uliotukuka kwenye hicho chama kumempelekea uume wake kushindwa kusimama imara(kulegea) hata ukisimama mda mfupi tu unalala, na tatizo kubwa linakuja pale anapokuwa anagegeda: kwanza anawahi kumaliza, pili inamchukua mda mrefu kurudia round ya pill.Kwa hiyo bandugu naombeni tushirikiane kumshauri huyu ndugu yetu njia anazoweza kutumia(ziwe natural au kama kuna tiba mbadala ila sio vumbi la Katanga) ili aweze kurejea kwenye hali yake ya kawaida.
Natanguliza shukrani

Nb:punyeto ni hatari kwa urijali wako do it responsibly.
Mwambie anunue mdalasini atafune asubui na usiku ndani ya siku tatu tu akupe majibu.
 
Aache kupiga punyeto atumie dawa za asili (wakati anatumia asifanye ngono) afanye mazoezi (push up, squart, riadha na gym) mfululizo kwa mwezi mmoja baadae atafute demu (hata kama tatizo bado lipo )wa kumjengea confindence atakuw anaona matokeo chanya sex after sex
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom