Tatizo la utumbo kuziba

MONA WA KYEN

JF-Expert Member
Dec 23, 2016
340
271
Habari wanajamii forum
kuna mtu juzi alikuwa mgonjwa sana akawa amepelekwa hospitali na alikuwa analalamika maumivu ya tumbo. Walimfanyia kipimo cha ultra sound kwa mujibu wake sasa wakasema utumbo ulikuwa umeziba. kwaa mujibu wake wanasema kuna dawa ya kienyeji alikunywa ikaziba utumbo wakamtaapisha na sasa anaendelea vizuri. Sasa nimekuwa ninajiuliza maswali sipati majibu naombeni mnisaidie
1. kuna vyakula gani ambayo ukila vinaweza kuziba utumbo?
2. kuna dawa za aina gani ukinywa zinaweza kuziba utumb au kuganda kwenye utumbo?
3. hebu mnieleze tuu kama kuna uwezekano wowote wa kunywa kitu cha kimiminika kikaziba utumbo (mechanism tafadhali)
 
Kwann ayo maswali ucngemuuliza uyo daktari alietoa ivo vipimo vya ndugu yako
 
Kwann ayo maswali ucngemuuliza uyo daktari alietoa ivo vipimo vya ndugu yako
BAADA YA KUFIKA NYUMBANI NDO NAPATA HIZI TAARIFA, NDO NIKAWA NINAMUULIZA ALIYOMUULIZA DAKTARI NIKAWA NINASHINDWA KUPATA MAJIBU YA KURIDHISHA NIKAONA NI VEMA NILILETE JUKWAANI KWANI KUNA MADAKTARI WAZURI HAPA JAMII FORUM WASOMI KABISA.
 
Back
Top Bottom