Msherwa
JF-Expert Member
- Aug 4, 2012
- 1,323
- 1,232
wakuu natumia win 7 ultimate, tatizo ni kwamba napojaribu kuingia kwenye Guest account inanijibu Group Police Client Failed The Log on, na mara nyingine inajibu Access Denied. Nikaamua kutengeneza Adminstrator Account nyingine lakin nayo matatizo yaleyale napoifungua inajibu Windows Can not load the user profile, halafu chini yake inaandika access denied.
nisaidieni wakuu maana nimeanza kupata mashaka.
natumia accer AOD 255e
nisaidieni wakuu maana nimeanza kupata mashaka.
natumia accer AOD 255e