Tatizo la umeme Tanzania lafika ukingoni

Tatizo la umeme Tanzania lafika ukingoni

13912358_1568011230171684_8702212615280387452_n-jpg.1083566


View attachment 1083525
Mradi wa ujenzi wa mtambo wa umeme wa gesi, Kinyerezi I Extension, utakaozalisha megawati 185, ukiwa katika hatua za mwisho na utakamilika Agosti mwaka huu.
 
Nchi yenye rasilimali kwenye karne hii bado upatikanaji Wa umeme ni changamoto.....
 
Ile Gesi ya Mtwara tuliambiwa ndio itakuwa mwisho wa mgao wa umeme na kutumia mkaa na kuni Mjini na Vijijini iliishia wapi?
Profesa Muhongo alisema akichaguliwa kuwa Raisi atatandaza bomba za gesi kila nyumba kama DAWASA
 
Sisi tuko mbwinde huku tunasubili umeme wa REA ufike niko kantalamba huku rukwa ndani ndani tunasilikiliza radio tanzania bado tena masafa ya AM sio FM
we Kantalamba mjini sana hapo siku hizi
 
Back
Top Bottom