Kwa maneno ya Muhongo Prof muongo kuwahi kutokea hapa Tanzania kwa maneno ya KigwangalaIle Gesi ya Mtwara tuliambiwa ndio itakuwa mwisho wa mgao wa umeme na kutumia mkaa na kuni Mjini na Vijijini iliishia wapi?
Imeishia msoga. Saiv tuna stiga's goggleIle Gesi ya Mtwara tuliambiwa ndio itakuwa mwisho wa mgao wa umeme na kutumia mkaa na kuni Mjini na Vijijini iliishia wapi?
Mkuu ondoa picha ya sister angu basi.View attachment 1083525
Mradi wa ujenzi wa mtambo wa umeme wa gesi, Kinyerezi I Extension, utakaozalisha megawati 185, ukiwa katika hatua za mwisho na utakamilika Agosti mwaka huu.
Inakuwaje unachukua tu picha za watu unatumia bila ruhusaView attachment 1083525
Mradi wa ujenzi wa mtambo wa umeme wa gesi, Kinyerezi I Extension, utakaozalisha megawati 185, ukiwa katika hatua za mwisho na utakamilika Agosti mwaka huu.
Hata ufpa watawasha umeme.Maendeleo hayana chama.
View attachment 1083525
Mradi wa ujenzi wa mtambo wa umeme wa gesi, Kinyerezi I Extension, utakaozalisha megawati 185, ukiwa katika hatua za mwisho na utakamilika Agosti mwaka huu.
Sasa dar kulikuwa na nguzo lakini umeme hamna, sijui unaelewa adha yake inakuwaje!!!!Mimi nipo hapa kibaha maeneo ya kidimu mkoa Wa pwani,tumepakana na ubungo mkoa Wa dar maeneo ya mpigi magohe, hakuna umeme wala dalili ya kupata huo umeme Leo wala kesho usiongee swala LA maji ndiyo balaa kabisa,halafu ndiyo mkoa unaojisifia kuwa na viwanda vingi Tanzania, hapa hakuna maji wala umeme,barabara ndiyo usiseme,kipindi cha mvua unaweza kutukana viongozi wote Wa Tanzania, hakuna barabara inayopitika.hamwe