Tatizo la umeme ni tanesco au serikali ya ccm..? Mtazamo wangu...

Maganga Mkweli

JF-Expert Member
Jul 14, 2009
2,089
829
TATIZO LA UMEME NI TANESCO AU SERIKALI YA CCM..?

Wasalaamu….
Najaribu kutafakari sana hapa je tatizo ni hili la UMEME(kichocheo cha uchumi ) ni hawa TANESCO au Hii Serikali ya CCM … ?
Nianze na hawa Tanesco matatizo ambayo naweza sema ni ya kwao moja kwa moja na yako ndani ya uwezo wao ni
1. Wafanyakazi wengi wana UMRI mkubwa pia wanashindwa kuendana na technolojia na changamoto nyingi za utandawazi.
2. Tanesco haiku ajiri muda mrefu sana mafundi na wahandisi ambao ndio nguzo kubwa ya shirika.
3. Kufanyia matengenezo mitambo na mifumo yake yote kwa ujumla kwa muda mrefu..kusababisha uchakavu wa hali wa juu wa mitambo na mifumo yake kwa ujumla
4. Mishahara midogo kwa wafanyakazi wake (hii ni kwa sekta nyingi sana ) kupelekea wafanyakazi wengi kuwa wala rushwa na wacheleshaji wa huduma
5. Huduma nyingi za tanesco zinaonekana kama privilege kwa wateja hii inatokana na wafanyakazi kutumia mwanya huu kutokana na umuhimu na umonopoly kwenye hii biashara.
6. Kufanya kazi chini ya kiwango kwa kisingizio cha ukosefu wa materials hii upelekea upotevu mwingi wa umeme unapoteza mapato mengi sana…
7. Kuingia mikataba mibovu kwenye uzalishaji wa umeme..
8. Utoaji wa huduma isiyoridhisha kwa WATEJA wake …
9. Ufanyaji kazi wa mazoea usio na ubunifu
Kwa upande waserikali ya CCM sasa ni kwa namna gani wao wanachangia kuidhoofisha TANESCO na kuchangia kwa kiasi kikubwa shida hii ya umeme..
1.kutowekeza kwenye MIUNDOMBINU ya UMEME hasa GENERATION kwa muda mrefu hapa tutakumbuka PLANT ya mwisho kabisa ya mali ya tanesco ni hii ya 100MW ubungo power plant .
Tunajua INSTALLING CAPACITY NI 561MW HYDRO POWER PLANT pia kuna THERMAL POWER PLANT ambazo installed capacity ni 345MW (including NYAKATO HFO mwanza ambayo MH RAIS alizindua mwaka jana katikati). Ikumbukwe hali ya mvua kwa sasa ni mbaya kwa hiyo plant nyingi za mvua zina run chini ya kiwango na hazifiki hata 30% .tunategemea IPP(IPENDENT POWER PRODUCER) i.e IPTL,SONGAS, AGGREKO, na SYMBION ..
Ambazo hizi IPP kwa asilimia kubwa ndio ambazo zinaendesha grid kwa sasa maana up to 60% ya umeme tunatumia ni kutokana na MAFUTA(HFO,DIESEL,JET) pamoja na gesi ambao hizi IPP zote zinalipwa CAPACITY CHARGE na pia mafuta zinanuliwa kuendesha mitambo yake. Gharama za UENDASHAJI WA HIZI IPP ni kubwa SANA natunajua ndio EMERGENCY POWER PLANT .. watalaamu wanajua hizi fuel based power plant ni kwa ajili ya PEAK LOAD na si BASE LOAD…zinatakiwa ziRUN kipindi cha PEAK tu .. kumbuka sasa tuna 24% ya watanzania wameshaunganisha kutumia umeme rejea hotuba ya MH. RAIS kufunga mwaka 2013.
2. kutofuata POWER SYSTEM MASTER PLAN huu ni mpango na ndio dira ya uwekezaji kwenye sector ya UMEME.. na hii kutokana kutokuwa na vipaumble (mtazamo wangu)
3. taasisi nyingi zilizopo chini ya serikali kutolipa madeni hii kuongeza mzigo kwa tanesco…
4. ewura kama regulator kutoisimamia kikamilifu tanesco kuDEAL na wateja na huduma
5.mipango mingi ni ya kisiasa hasa usambazaji wa umeme tukitazama hii ya umeme vijiji unasabambaza ji umeme wakati haujengi power plant/generation wala Transmission Line .. unategemea nini..?
NYONGEZA
Wananchi pia wapo baadhi yetu ambao tunashirikiana na wafanyakazi watanesco kuiba umeme kwa kizingizio cha GHARAMA kubwa…za UMEME…

MAONI YANGU
1.wengi wanasema tanesco IBINAFSISHWE ILI IWE FANISI na kubaliana nao kwa upande mmoja ila binafsi bado na amini kama SERIKALI itaweka kipaumbele kwenye uwekezaji wa MIUNDOMBINU ya UMEME hasa GENERATION na TRANSSMISSION .tutapunguza sana hili tatizo
2.uwekezaji wa generation hasa gesi na maji….kwa gharama zake ziko chini pia huku tunaweza tukaribisha wawekezaji

NB: takwimu hizi pia unaweza pata kwenye tovuti ya tanesco Thermal Power Plant
Wizara ya nishati na madini na unaweza google vingine…
 
CCM imeamua kuwachangisha wananchi pesa kwa ajiri ya uchaguzi 2015. Kumbuka, ile mbinu ya iliyowapa pesa zilizomuingiza JK madarakani haitawezekana tena. Tanesco ndo sehemu wanaweza kupata pesa mingi bila wananchi kushtukia.
 
MAONI YANGU
1.wengi wanas.......
2.uwekezaji wa generation hasa gesi na maji….kwa gharama zake ziko chini pia huku tunaweza tukaribisha wawekezaji…
Tuwekeze kwenye maji tena!!!! Hayo ya maji tuliyonayo yanazalisha umeme kwa misimu alafu unashauri tuendelee na uwekezaji wa kwenye maji, Prof. Muhongo akikusikia!!!!
 
Unataka majibu au re affirmation ya majibu???!!!!!

Unatenganishaje Tanesco na Serikali??!!
 
KWANI KUNATOFAUTI YOYOTE KATI YA SERIKALI, TANESCO NA CCM? UFUTAO NI UCHAMBUZI WANGU.
Mkurugenzi anateuliwa na Rais maranyingi huwa ni kada wa chama(Hata kama ni mtaalam). Chama kinaweza kumuagiza Rais amwondoe mkurugenzi husika kama hakiridhishwi naye. Chama kinaweza kuja kukagua miradi ya maendeleo inayofanywa na serikali mfano Tanesco jinsi wanavyozalisha umeme na kuacha mapendekezo(Hayo tumeyaona hata mwaka 2013 Kinana na Nape walizunguka karibia nchi nzima na kutoa maagizo kwa watendaji wa serikali). Hivyo NISAHIHI KABISA KUITA CCM NI CHAMA DOLA.

TATIZO LA UMEME NI TANESCO AU SERIKALI YA CCM..?

Wasalaamu….
Najaribu kutafakari sana hapa je tatizo ni hili la UMEME(kichocheo cha uchumi ) ni hawa TANESCO au Hii Serikali ya CCM … ?
Nianze na hawa Tanesco matatizo ambayo naweza sema ni ya kwao moja kwa moja na yako ndani ya uwezo wao ni
1. Wafanyakazi wengi wana UMRI mkubwa pia wanashindwa kuendana na technolojia na changamoto nyingi za utandawazi.
2. Tanesco haiku ajiri muda mrefu sana mafundi na wahandisi ambao ndio nguzo kubwa ya shirika.
3. Kufanyia matengenezo mitambo na mifumo yake yote kwa ujumla kwa muda mrefu..kusababisha uchakavu wa hali wa juu wa mitambo na mifumo yake kwa ujumla
4. Mishahara midogo kwa wafanyakazi wake (hii ni kwa sekta nyingi sana ) kupelekea wafanyakazi wengi kuwa wala rushwa na wacheleshaji wa huduma
5. Huduma nyingi za tanesco zinaonekana kama privilege kwa wateja hii inatokana na wafanyakazi kutumia mwanya huu kutokana na umuhimu na umonopoly kwenye hii biashara.
6. Kufanya kazi chini ya kiwango kwa kisingizio cha ukosefu wa materials hii upelekea upotevu mwingi wa umeme unapoteza mapato mengi sana…
7. Kuingia mikataba mibovu kwenye uzalishaji wa umeme..
8. Utoaji wa huduma isiyoridhisha kwa WATEJA wake …
9. Ufanyaji kazi wa mazoea usio na ubunifu
Kwa upande waserikali ya CCM sasa ni kwa namna gani wao wanachangia kuidhoofisha TANESCO na kuchangia kwa kiasi kikubwa shida hii ya umeme..
1.kutowekeza kwenye MIUNDOMBINU ya UMEME hasa GENERATION kwa muda mrefu hapa tutakumbuka PLANT ya mwisho kabisa ya mali ya tanesco ni hii ya 100MW ubungo power plant .
Tunajua INSTALLING CAPACITY NI 561MW HYDRO POWER PLANT pia kuna THERMAL POWER PLANT ambazo installed capacity ni 345MW (including NYAKATO HFO mwanza ambayo MH RAIS alizindua mwaka jana katikati). Ikumbukwe hali ya mvua kwa sasa ni mbaya kwa hiyo plant nyingi za mvua zina run chini ya kiwango na hazifiki hata 30% .tunategemea IPP(IPENDENT POWER PRODUCER) i.e IPTL,SONGAS, AGGREKO, na SYMBION ..
Ambazo hizi IPP kwa asilimia kubwa ndio ambazo zinaendesha grid kwa sasa maana up to 60% ya umeme tunatumia ni kutokana na MAFUTA(HFO,DIESEL,JET) pamoja na gesi ambao hizi IPP zote zinalipwa CAPACITY CHARGE na pia mafuta zinanuliwa kuendesha mitambo yake. Gharama za UENDASHAJI WA HIZI IPP ni kubwa SANA natunajua ndio EMERGENCY POWER PLANT .. watalaamu wanajua hizi fuel based power plant ni kwa ajili ya PEAK LOAD na si BASE LOAD…zinatakiwa ziRUN kipindi cha PEAK tu .. kumbuka sasa tuna 24% ya watanzania wameshaunganisha kutumia umeme rejea hotuba ya MH. RAIS kufunga mwaka 2013.
2. kutofuata POWER SYSTEM MASTER PLAN huu ni mpango na ndio dira ya uwekezaji kwenye sector ya UMEME.. na hii kutokana kutokuwa na vipaumble (mtazamo wangu)
3. taasisi nyingi zilizopo chini ya serikali kutolipa madeni hii kuongeza mzigo kwa tanesco…
4. ewura kama regulator kutoisimamia kikamilifu tanesco kuDEAL na wateja na huduma
5.mipango mingi ni ya kisiasa hasa usambazaji wa umeme tukitazama hii ya umeme vijiji unasabambaza ji umeme wakati haujengi power plant/generation wala Transmission Line .. unategemea nini..?
NYONGEZA
Wananchi pia wapo baadhi yetu ambao tunashirikiana na wafanyakazi watanesco kuiba umeme kwa kizingizio cha GHARAMA kubwa…za UMEME…

MAONI YANGU
1.wengi wanasema tanesco IBINAFSISHWE ILI IWE FANISI na kubaliana nao kwa upande mmoja ila binafsi bado na amini kama SERIKALI itaweka kipaumbele kwenye uwekezaji wa MIUNDOMBINU ya UMEME hasa GENERATION na TRANSSMISSION .tutapunguza sana hili tatizo
2.uwekezaji wa generation hasa gesi na maji….kwa gharama zake ziko chini pia huku tunaweza tukaribisha wawekezaji

NB: takwimu hizi pia unaweza pata kwenye tovuti ya tanesco Thermal Power Plant
Wizara ya nishati na madini na unaweza google vingine…
 
KWANI KUNATOFAUTI YOYOTE KATI YA SERIKALI, TANESCO NA CCM? UFUTAO NI UCHAMBUZI WANGU.
Mkurugenzi anateuliwa na Rais maranyingi huwa ni kada wa chama(Hata kama ni mtaalam). Chama kinaweza kumuagiza Rais amwondoe mkurugenzi husika kama hakiridhishwi naye. Chama kinaweza kuja kukagua miradi ya maendeleo inayofanywa na serikali mfano Tanesco jinsi wanavyozalisha umeme na kuacha mapendekezo(Hayo tumeyaona hata mwaka 2013 Kinana na Nape walizunguka karibia nchi nzima na kutoa maagizo kwa watendaji wa serikali). Hivyo NISAHIHI KABISA KUITA CCM NI CHAMA DOLA.

kweli hakuna tofauti kati ya serikali na tanesco ambayo ni taasisi yake..?
 
kwani wanatekeleza ilani ya chama gani..?

Si umesema ni shirika la UMMA ili kuonesha tofauti sasa huko kwenye ilani unazungumzia serikali iliyo chini ya chama gani tena???!!!!

Unameza chungu unapoozea na tamu halafu unakataa hujala chungu!!!
 
Hivi wewe simiyu yetu mna tofauti maana mnanichanganya tu hapa..
 
Back
Top Bottom