Tatizo la Umeme kukatika

Tatizo la Umeme kukatika

Vietnam

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2015
Posts
457
Reaction score
524
Ni karibu mwezi hali ya upatikanaji umeme imekuwa mbaya sana, binafsi nikipiga simu naambiwa umeme hautoshelezi.

Biashara za saluni, uchomeleaji mtaani kwangu zote haziendi vizuri, la kushangaza waziri wa wizara husika yuko zake kimya
Aibu gani hii jamani.

Tanzania kuna vyanzo lukuki vya kuzalisha umeme, Gas nilisikia bado hatujatumia vizuri, lakini tumewekeza tena Stigler ambayo maji hatuna uhakika nayo.
 
Back
Top Bottom