UncleBen
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 9,693
- 12,326
Duuu haya bana kwa hiyo Arusha yote ni Majengo juu ???Nimekaa Arusha nikawa naziona siku zinarudi nyuma badala ya kwenda mbele, yaani ile mitaa niliyokaa ( Majengo ya juu) kila kitu ni shigda,kuanzia umeme,maji, bei ya vitu iko juu, uchafu, vijana wala mirungi na bhangi kibao na nyumba za udongo kibao na pesa ni ngumu mno kupatikana. Yaani kuishi Arusha ni kujitoa ufahamu ndio uweze kuishi na aliyeweza kuishi Arusha hashindwi maisha sehemu yoyote Arusha ni zaidi ya jela.