mathsjery
JF-Expert Member
- Sep 26, 2015
- 2,241
- 1,794
Unakuta mtu anasoma computer science au bsc informatics na wakati huo hufundishwa theories Sana na practical Ni kidogo Sana tena ile ya kuachiwa kama assignment na submission date Huyu mwanafunzi anayeachiwa assignment anaenda kugoogle anapata jawabu anatuma kazi kwa lecture na lecture anasahihisha na kumpa marks
Je anajua kuwa anatengeneza mwana IT mzuri au boga huu ufundishaji Ni shida kibaya zaidi Chuo kina computer lab. Zaidi ya moja na computer zote nzima technician yupo lakini hazitumiki kumbuka kuna wana WA maskini wasio na computer wataalam tuwaulize mliisomaje hii computer science na kama mlijitafutia vipi kwa wale waliokuwa hawajiwezi kifedha na computer lab zilikuwepo na kuingia kutumia Ni shughuli!!