Ustaadhi 22
JF-Expert Member
- Sep 5, 2021
- 1,180
- 2,147
Vijana hawa wana njaaa balaaa,,halafu wao wanafikiri TRA ni kujitajirisha
Sio kweli taarifa za siri zina sema hiyo team ipo kariakoo imetoka mkoa fulani ambao kwa sasa upo hoi kiuchumi. Maduka yamefungwa na watu wamehama is the same team ipo kariakoo je ulitakaje? Ndio hao hao wamesema hayo mambo yakisiasa. Hayo majitu ilikuwa nikufukuza maana ni Maroho kuliko fisi.Ukifatilia kwa makini tatizo lililopo kati ya TRA na wafanyabiashara sehemu nyingi hapa nchini ni hawa watendaji walioajiriwa hivi karibuni na kupewa majukumu makubwa.
Sehemu kubwa ya watendaji walio na uzoefu na kazi katika vituo vyao walihamishwa na nafasi zao kuchukuliwa na hawa vijana wapya wasiokuwa na uzoefu. Kitu kingine ni hawa vijana kuwa na tamaa ya kujitajirisha kwa haraka kupitia wafanyabiashara.
Ukiangalia wakati wa Serikali ya awamu ya tatu ukusanyaji wa kodi ulikuwa mkubwa sana bila kuwa na mgogoro kati ya wafanyabiashara na TRA.
Ni wakati muhimu kwa TRA kuwaangalia kwa makini hawa vijana wanaoajiriwa sasa
Acha kazi ukalipe Kodi kama mfanya biashara.Pia watanzania hatupendi Kodi..
TRA need to go digital to resolve all issuesUkifatilia kwa makini tatizo lililopo kati ya TRA na wafanyabiashara sehemu nyingi hapa nchini ni hawa watendaji walioajiriwa hivi karibuni na kupewa majukumu makubwa.