Bowie
JF-Expert Member
- Sep 17, 2016
- 4,373
- 6,084
Ukifatilia kwa makini tatizo lililopo kati ya TRA na wafanyabiashara sehemu nyingi hapa nchini ni hawa watendaji walioajiriwa hivi karibuni na kupewa majukumu makubwa.
Sehemu kubwa ya watendaji walio na uzoefu na kazi katika vituo vyao walihamishwa na nafasi zao kuchukuliwa na hawa vijana wapya wasiokuwa na uzoefu. Kitu kingine ni hawa vijana kuwa na tamaa ya kujitajirisha kwa haraka kupitia wafanyabiashara.
Ukiangalia wakati wa Serikali ya awamu ya tatu ukusanyaji wa kodi ulikuwa mkubwa sana bila kuwa na mgogoro kati ya wafanyabiashara na TRA.
Ni wakati muhimu kwa TRA kuwaangalia kwa makini hawa vijana wanaoajiriwa sasa