Tatizo la Tecno M3 kujibonyeza yenyewe naomba msaada

Tatizo la Tecno M3 kujibonyeza yenyewe naomba msaada

mahalathetz

Member
Joined
Dec 2, 2014
Posts
36
Reaction score
17
Simu yangu ina tatizo la kuhamisha unachokifanya. Kwa mfano naweza nikawa naandika "a" yenyewe ikaacha nafasi na mbaya zaidi naweza nikawa nafanya kitu fulani kama kuchat ghafla tu inarudi nyuma.

Mfano naandika kutoka hapa

Najikuta inanipeleka mwanzo kabisa hapa. Na wakati mwingine nikiwa nawasiliana najikuta inahold yenyewe. Na pia imekua ikichemka tofauti na ilivyokua mwanzo. Simu yenyeww ni TECNO M3.

Naombeni msaada kwa wanalum jamani nimeenda kwa mafundi kama watatu ila nimeishia kuambiwa tu njoo kesho nikienda wananiambia wako bize sasa nimeitunza tu ndani,

Naombeni msaada wenu wana JF.
 

Attachments

  • 1418092201903.jpg
    1418092201903.jpg
    30.4 KB · Views: 145
  • 1418092360135.jpg
    1418092360135.jpg
    22 KB · Views: 138
Please ipeleke service centre yao wapo Samora avenue - NHC building - nadhani wanaweza saidia
 
Tecno majanga tu.....nenda kariakooo wapo opposite na shell ya big bon wachina pale watakusaidia
 
Back
Top Bottom