Tatizo la Tanzania si Katiba mpya

Tatizo la Tanzania si Katiba mpya

Mweleweni mwandishi wa makala. Someni muone maudhui yaliyomo na anachimaanisha. Hoja yake ni kwamba bila watu kubadilika, hata hiyo katiba pya ni bure tu
Ametoa mfano wa makontena kuibwa, unahitaji katiba mpya kudhibiti upuuzi huo? Eleweni mantiki ya makala, siyo mnashambulia tu. Kenya wana katiba mpya, watu au viongozi wale wale, faida hapo ni nini? Ndiyo maana mwenye makala anasisitiza uwajibikaji.
Uwajibikaji wa maigizo kama uliyopo sasa ndio wautaka? Mihimili kupotezwa, matumizi ya fedha bila idhini ya bunge, kuishi kwa matamko, wenye vyeti tata wateule eti ndo mfano wa kuigwa etc labda na weye mnufaika. Wananchi wanahitaji katiba ndo maana walitoa maoni. Katiba itakayowezesha watz kusimamia viongozi wao. Katiba itakayozuia u sultani unaopata nguvu sasa hivi. Amen.
 
Back
Top Bottom