Tatizo la Tanzania si Katiba mpya

Tatizo la Tanzania si Katiba mpya

Ndomaana tunataka katiba itakayotupa nguvu ya kuwaadhibu viongozi wetu wazembe, ambao magufuli kashindwa kuwaadhibu akionea dagaa tu, tunataka rais akitoka madarakani asiwe na kinga ya kuwajibiswa, pawe na kikomo cha uongozi sio sasa ubunge kama uchifu tu.

Hatutaki wakuu wa mikoa na wilaya kwamaana ni wapiga dili wa chama.

Nyinyi mnataka visasi Magufuli anasafisha kwa maslahi ya umma hakuna dagaa wote walio haribu anawashughulikia tatizo nyinyi mna visasi vyenu vya kisiasa mnataka mvigeuze. Oneni yote mnayopigia kelele ni ya kisiasa tume ya uchaguzi, wakuu wa wilaya hatusikii mkizungumzia ya wananchi ni siasa tupu ambazo hazina faida kwa sie tusio penda ujinga wa siasa. Katiba ni siasa tu muhimu ni uongozi mzuri kama wa Magufuli.
 
MKUU MKARUKA unachosema kuhusu katiba wengi hawatakuelewa ila hebu soma hapo chini jee Waingereza wana KATIBA?


The Constitution of the United Kingdom is a set of laws and
rules in the United Kingdom that
governs how the country is
organized and the basic rights and freedoms of the people.
The UK's constitution is not written in one single document like many other countries' are. In fact, the UK's constitution is not completely written down at all. Some of it can be found in writing, starting with the Magna Carta of 1215 and the Bill of Rights Act 1689 and including more modern Acts of Parliament . Other parts of it are considered
common law and are made up of the decisions of judges over many hundreds of years in a system called legal or judicial
precedence . Because of this, some people say that the United Kingdom has a de facto or "unwritten" constitution.
 
Kama nchi INA watu wengi wenye upeo mdogo was kufikiri kama huyu aliepost ujinga hakikaka itatuchukua miaka ,200 ijayo kujitambua hili jamaa limendika ugoro lazima Lina upongo kama zinjastropus
 
nisemeni mimi muacheni magufuli afanye kazi-by JK dec 9 2015
hata mkinisema sigombei tena, kwa hiyo mnapoteza muda wenu by JK
hizi ni dalili za walioshindwa by JK
sasa mmechanganyikiwa, by JK

ujumbe murua kabisa huu.

Source:Jamhurimedia
 
Kenya waliambiwa- ''you have the most progressive constitution in the world ''- na madaraka ya raisi wa kenya yakapunguzwa.kwa sasa ni kama hayapo.Uteuzi wote unapitia bunge la Kenya. Lakini ufisadi na upigaji dili uko palepale. kibaya zaidi hata wabunge wa kenya nao wamekuwa mafisadi.
sasa hivi kuna mchakato wa kutaka kuibadili katiba ya Kenya.
How MPS steal Billions from Parliaiment Every Year | Cyprian Nyakundi
 
Tatizo la Tanzania siyo Katiba Mpya, bali watu wenye mawazo kwamba Katiba ni Karatasi zilizoandikwa na kufungashwa pamoja na kuitwa Katiba. Watu wenye mawazo kwamba tatizo letu siyo katiba wao ndiyo tatizo letu kama taifa!!

You have said it all, truly you are a Great thinker!! KATIBA ni kila kitu kwa ustawi wa Nchi yeyoteduniani. Hatusemi Katiba italeta maendeleo lakini ndio itasimamia uthabiti wa taasisi mbalimbali na utendaji kazi wake.
 
Wewe mleta mada ni pumbavu kama si punguani.

Huna elimu kama hawa wanapumbavu wanaokuunga mkono zaidi ya kukaa darasani.

Unawezaje kuwa na taasisi isiyokuwa na mwongozo? Viongozi wa taasisi ipi huongoza kwa mawazo na mitazamo yao bila kuwa na regulations? Kweli wewe ni mpumbavu.

Unamjua binadamu kwa utimiifu wake? Siku akiwa mwehu akafanya wendawazimu kama unaowafahamu, nini utatumia kurejesha nchi kwenye msitari?

Ninaona unachanganya uwepo wa katiba na utekelezaji wa yaliyomo. Sijui kwako kipi kinatangulia na kipi ni pillar ya kingine.

Pengine uende ukaanzishe taasisi yako ya boko haramu ufundishe haya.

Kweli wewe ni mpumbavu sawa na mipumbavu mingine iliyosababisha msamiati wa pumbavu kuwepo.
 
Sishangai sana kama kuna wasomi waTZ ambao hawaoni tatizo ktk katiba iliyopo. Ndio zao la elimu yetu. Tunapenda sana ushabiki wa mambo tunayoyaona na kuacha kufikiri yajayo.
Yaani kuna watu miezi michache ya mwanzo wanaona JPM ndio mwarobaini wa matatizo yote TZ. This is big 'NO'. JPM namchukulia kama mwanzo mzuri wa TZ mpya ila bila kuwa na katiba yenye tija kwa maslahi mapana basi kazi atakayofanya Magufuli kwa muda atakaoongoza inaweza ikarudishwa nyuma na yeyote atakayefuatia.
Katiba ya sasa ni jibu ambalo linaweza kuonekana halijaiva kwa sasa ila ipo siku likianza kuuma kwa ndio mtaona umuhimu wa katiba mpya!
 
Hivi ukiwa na Katiba mpyana Rais aina ya Kikwete, kuna kitu hapo? Katiba itavunjwa na yeye atachekacheka tu.

Mkuu na Lowassa pia, watu wakiongopewa na Lowassa kuwa atarudisha rasimu ya pili ili iwe katiba wakati huohuo wanachekelea ila kama ulisoma ile rasimu mtu kama Lowassa akikuambia kuwa atairudisha haiwezi kuwa kweli ata siku moja, sababu siku ya kupitisha ile katiba ikawa ndio katiba ya Tanzania nayeye papohapo kabla hajainua mguu kasha ivunja unategemea nn?
 
I couldn't agree more. Watanzania wanataka maendeleo ila hawapo tayari kuendelea. Wengi wanataka maendeleo bila kazi wala elimu, wanatafuta namna ya kujiaminisha kwamba kuna uwezekano wa kuendelea bila nidhamu ya Kazi. Ndio maana wengi wanaamini kwa kuwa na mbuga na madini basi hawapaswi kufanya Kazi yeyote wanataka wakae ndani tu waletewe.

Katiba haijisimamii inasimamiwa kama hii ya sasa imeshindwa kusimamiwa basi hata hiyo mpya is doomed to fail. Na kama JPM kashaanza kudeliver kwa katiba hii hii ya 1977 basi tatizo sio katiba ni utayari, nidhamu, usimamizi, na uongozi thabiti
 
Hii mada ni nzuri sana lakini ina tatizo la uandishi:
Mwandishi badala ya kuandika kuwa Tatio la Tanzaia si Katiba mpya ingefaa aandike kuwa Katiba Mpya si Tatizo lenye umuhimu wa kwanza Tanzania; kuna matatizo ambayo ingefaa tuanze nayo kwanza; kwa mfano, kuwajibisha viongozi wanaovunja Katiba iiyopo ili kujenga nidhamu ya kulinda Katiba kwanza. Tutekeleze sheria ziizopo kwanza bila upendeleo wala woga badala ya kubadilisha na kuongeza sheria nyingine bila nidhamu ya usimamizi wake kuwepo!
Katiba ya Kwanza ilikuwa nzuri kiasi chake lakini haikutekelezwa wala haitekelezwi katika vipengele vyake vyote kwa sababu tatu: ya kwanza ni uongozi ambao hautaki kufuata Katiba wala sheria; ya pili ni uelewa duni wa wananchi kuhusu Katiba iliyopo sasa; na tatu, tabia ya wengi wetu Watanzaia kutopigania haki zetu zinapopuuzwa au kunyang'anywa: Mfano, Waziri Mkuu, Pinda wakati wake alipoamuru polisi wapige wananchi ambao polisi "wanafikiria wana makosa". Watanzania tulifaya nini? Hayo na mengine ndiyo matatizo awali na ya msingi kuhusu Katiba.
 
Ubovu wa katiba iliyopo ndio inaleleta mlolongo wa shida kubwa zote ambazo watanzania tunazo kama rushwa, ufisadi na wizi.

Tatizo si katiba.Kuna nchi duniani hazina katiba na hazijawahi kuwa na katiba.Mojawapo ya nchi zisizo kuwa na katiba ni Uingereza.Na ni nchi iliyoendelea lakini ambayo haina katiba ya nchi.Uingereza wanaishi kwa sheria tu zilizopo.

Matatizo yote uliyoongelea mfano Rushwa,ufisadi na wizi sheria zipo za kushughulikia hayo mambo.Ila tatizo ni usimamiaji tu wa hizo sheria.Sheria zikisimamiwa vizuri hakuna haja ya katiba.Sababu kama ukisema mtu ana uhuru wa kutoa maoni yake unaikuta iko sheria ya haki za binadamu au sheria za vyombo vya habari.Ukiongelea ufisadi tayari iko sheria ya uhujumu uchumi na ya kupambana na rushwa.Ukija mfano kuongelea kuwa kusiweko ubaguzi kwenye ajira kusiangalie dini,jinsia au nini? Unakuta swala hilo liko kwenye sheria za kazi.

Hivyo wenzetu kama waingereza wao wakaona kinachohitajika ni utawala wa sheria unaozingatia sheria kwenye uendeshaji serikali,utendaji nk

Matatizo mengi yawe matumizi mabaya ya madaraka yote sheria zake zipo zikisimamiwa vizuri nchi itaenda hata bila katiba kuwepo.
 
Hii mada ni nzuri sana lakini ina tatizo la uandishi:
Mwandishi badala ya kuandika kuwa Tatio la Tanzaia si Katiba mpya ingefaa aandike kuwa Katiba Mpya si Tatizo lenye umuhimu wa kwanza Tanzania; kuna matatizo ambayo ingefaa tuanze nayo kwanza; kwa mfano, kuwajibisha viongozi wanaovunja Katiba iiyopo ili kujenga nidhamu ya kulinda Katiba kwanza. Tutekeleze sheria ziizopo kwanza bila upendeleo wala woga badala ya kubadilisha na kuongeza sheria nyingine bila nidhamu ya usimamizi wake kuwepo!
Katiba ya Kwanza ilikuwa nzuri kiasi chake lakini haikutekelezwa wala haitekelezwi katika vipengele vyake vyote kwa sababu tatu: ya kwanza ni uongozi ambao hautaki kufuata Katiba wala sheria; ya pili ni uelewa duni wa wananchi kuhusu Katiba iliyopo sasa; na tatu, tabia ya wengi wetu Watanzaia kutopigania haki zetu zinapopuuzwa au kunyang'anywa: Mfano, Waziri Mkuu, Pinda wakati wake alipoamuru polisi wapige wananchi ambao polisi "wanafikiria wana makosa". Watanzania tulifaya nini? Hayo na mengine ndiyo matatizo awali na ya msingi kuhusu Katiba.

Na kifanyike -kufanyia marekebisho katiba iliyopo kama kuondo yanayofaa kuonfolewa na kuongeza yaliyo mazuri
 
Mtoa mada ni wale huitwa debe tupu, hawa ndio hujiita wasomi tena wana "Master's degree".
 
katiba mpya haina maana yoyote kinachotakiwa kwenye taifa letu ni viongozi wenye uzalendo na udhati wa kutenda kwa watanzania.
Hivi unajua Katiba inaweza kumlazimisha kiongozi kuwa mzalendo? Bila Katiba bora uzalendo wa kiongozi utategemeana na discretion yake!
 
Back
Top Bottom