Wakuu habari za jioni niendr direct kwenye mada Nina tatizo la sugu kwenye unyayo na kidole kidogo cha mguu kwa juu. Wataalam naombeni mnijuze linasababishwa nanini? Na Tiba yake nini?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.