Tatizo la speed ya Internet kwenye simu yenye 2g ?

Sitachoka

JF-Expert Member
Nov 17, 2011
3,030
1,305
Habari wakuu,

Natumia simu yenye internet ya kasi ya 2g tu, nimeinstall whatsapp cha kushangaza imeshindika kumalizia procesa nzima imefika sehemu ya kuweka picha na haitoki sehemu hiyo, nikiclick next step inasema please wait ndo hivo tu mpaka inaboa, nikahisi ni kasi ndogo ya speed ya net,

Sasa sijui nafanyaje wadau msaada tafadhari

natanguliza shukurani
 
2g ipo very slow jaribu kutafuta simu yenye 3g ambazo zipo hata za laki madukani upate spidi ya uhakika
 
Back
Top Bottom