tindikalikali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 4,854
- 1,149
Wakuu natumia Samsung Ace 2....hivi karibuni imekuwa na mtindo wa kujirestart kila ninapopigiwa simu, appl ikistack na muda mwingine bila sababu yeyote inayoonekana, inajizima na kuwaka!!
Naomba msaada wenu, tatizo linaweza kuwa lipi? Hapa nimejaribu kuireset ila bado bila bila!!
Naomba msaada wenu, tatizo linaweza kuwa lipi? Hapa nimejaribu kuireset ila bado bila bila!!