Jiwe kuu01
JF-Expert Member
- Jul 30, 2020
- 228
- 86
Mkuu inasumbua hatari Yani haikai na charge nilinunua mwez wa tano mpaka Sasa nimeibadilishia betry mara mbili daaahHizi simu wateja wanauZa deile
Pole sanaMkuu inasumbua hatari Yani haikai na charge nilinunua mwez wa tano mpaka Sasa nimeibadilishia betry mara mbili daaah
Shkrn mkuuPole sana
Nilichukua 500kDukani bei gani hiyo?
Mtaani jamaa alikuwa anauza 230k baada ya kuona chaji inayeyuka fastaNilichukua 500k
Daaah aseeeh Yan hii phone haina raha kabsaMtaani jamaa alikuwa anauza 230k baada ya kuona chaji inayeyuka fasta
Duuuh hivi Niki I root Hili tatzo linaweza likaisha?Samsung shida yake kubwa ni charge..hapo bado haijaanza kuzima yenyewe hata ikiwa na 80%
Sio Samsung zote babu...Samsung shida yake kubwa ni charge..hapo bado haijaanza kuzima yenyewe hata ikiwa na 80%
Ni kwel mkuu Kuna baadhi ya Samsung Kama note 8 inakaa na charge had unahic rahaSio Samsung zote babu...
Natumia s7 kavuSamsung shida yake kubwa ni charge..hapo bado haijaanza kuzima yenyewe hata ikiwa na 80%
Mwambie huyoSio Samsung zote babu...
Kweli kabisa mm nina s7 edge duos 8 akaa chji kinomaNi kwel mkuu Kuna baadhi ya Samsung Kama note 8 inakaa na charge had unahic raha
Hiyo simu yako ya TECNO na yangu hii ninayotumia Samsung S7 edge duos gb 128 niki optmize mfno nikaweka HD displays background used apps Cpu speed limit nkHizi brand zinawapa utumwa watu mimi natumia tecno phantom 9 ina Ram 6:00Gb Rom 128Gb CPU 2.3Hz*8 etc. huwa sizimi data natoka asubuh ipo full charge nikirud home jioni utakuta battery percentage ipo thelathini na kitu maisha ni kuchagua never be a slave of brands but quality
Hizi brand zinawapa utumwa watu mimi natumia tecno phantom 9 ina Ram 6:00Gb Rom 128Gb CPU 2.3Hz*8 etc. huwa sizimi data natoka asubuh ipo full charge nikirud home jioni utakuta battery percentage ipo thelathini na kitu maisha ni kuchagua never be a slave of brands but quality
Ungesema samsung za zaman ndio zinshida ya batterySamsung shida yake kubwa ni charge..hapo bado haijaanza kuzima yenyewe hata ikiwa na 80%
Sasa hiyo tecno ina quality gani? Hiyo mtk ndio inakupa raha? Au hiyo emmc storage? Kuna simu zenye quality lakin sio hyo tecno...Hizi brand zinawapa utumwa watu mimi natumia tecno phantom 9 ina Ram 6:00Gb Rom 128Gb CPU 2.3Hz*8 etc. huwa sizimi data natoka asubuh ipo full charge nikirud home jioni utakuta battery percentage ipo thelathini na kitu maisha ni kuchagua never be a slave of brands but quality