Wakuu habari zenu
Naomba niwasilishe kwenu tatizo ambalo limekuwa likikwamisha shughuli za uchapaji wa kazi mbalimbali, tatizo hili linatokana na printer yangu kushindwa kufanya kazi ukitaka kuprint document yoyote inagoma kuprint au muda mwingine inachelewa kurespond.
Nimekuwa nikilaumiwa sana na wateja, wataalamu naombeni msaada wa kiufundi nawezaje kurekebisha ili kuondoa tatizo
Nawasilisha