mind ur bussness
JF-Expert Member
- Dec 15, 2016
- 1,050
- 741
Habari Wana jamii forum, natumai mu wazma wa afya.
Niende moja kwa moja kwenye kiini,
Nina laptop yangu niliinunua miaka mitatu iliyopita, aina ya HP, ilikuwa nzima na haikuwa na tatizo lolote ktk kipindi chote cha matumizi, kwan hata betri yake ilikuwa nzima na ili store charge almost 3:30hrs,
But ilitokea ck moja nikiwa naitumia ikaandika betri low as usual kitu kikiwa charge inakaribia kuisha, nikawa nimeizima
Baada ya kuwa nimeizima nkajikuta nakuwa busy for almost one month and a half, so siku nimeichukua ili nitumie nilipoweka kwenye charge, kuchek ile icon ya betri iko static haichez kuonesha kuwa charge inaingia, baada ya kuiangalia sana niliposogeza ule mshale wa kutaftia nikaona maneno haya, PLUGED IN BUT NOT CHERGING. nimejaribu kuwaona mafundi nao nahic ni fundi njaa wananipa mambo mengine hata cyaelewi,
Mmoja akasema, BETRI NI MBOVU,
mara, CHARGER MBOVU.
mara window.
Wadau naomben mnisaidie ni nini hasa kilicho haribika au nifanyeje katika hili.
"NAWASILISHA"