Tatizo la Notification access kwenye simu za Android

posian el

Member
Jun 26, 2020
34
33
Habarini wanajamvi, Naxhindwa kupata Notification Access kwenye sim yangu.

Simu ni tecno pop 2 plus android 8.

Nahitaji msaada plz.
Screenshot_20200725-111642.jpg
 
Naipataje sasa hiyo multiple user guest mkuu.

Inategemea na aina ya simu. Kuna ambazo unaikuta kwenye *settings--users and accounts*

Au inaweza kuwa na shortcut kwenye Quick settings.

Ila kama uliRestart na haijakuletea mambo ya user. Basi jaribu kuBoot kwenye recovery mode, halafu Clear Cache.
 
Tafadhali na maelezo zaidi kuhusu kuboot mkuu cozy sifaham kuboot mkuu... ymollel
 
Tafadhali na maelezo zaidi kuhusu kuboot mkuu cozy sifaham kuboot mkuu... ymollel

Inategemea na aina ya simu. Kuboot kwenye recovery mode ni kama vile unaenda kuReset /Factory Reset simu lakini badala ya kuchagua *Wipe All Data* utachagua *Clear cache partition*.

Jaribu kuzima simu. Halafu washa wakati umeshikilia Button ya Vol + au Vol -, ikishaonyesha Logo ya simu achilia button ya Power.
 
Back
Top Bottom