Tatizo la NOKIA ASHA 311 Msaada!!!

Tatizo la NOKIA ASHA 311 Msaada!!!

Gwaks makono

Senior Member
Joined
Aug 27, 2011
Posts
109
Reaction score
16
Simu yangu katika siku za karibuni imekuwa na tatizo la betri kuisha haraka bila kuitumia nikaja kugundua kuna program (MUSIC) ina update playlist naombeni msaadajinsi ya ku close nitashukuru sana kwa msaada!!!
 
hiyo application umeiweka wewe,?au imekuja na simu,una mna gani toka umeanza kutumia hiyo simu?
 
hapana mkuu hii application imekuja na simu nina miezi sita toka nianze kuitumia lakini hili tatizo limeanza kama wiki 3 zilizopita!!!
 
mkuu una uhakika gani hio app ndio inayomaliza charge? Na sidhani huko ku update playlist kunatumia network as long as inatumia miziki yako ya simu.

Labda unambie kua una mtindo wa kustream miziki ya online. Inaitwaje hio application?

Nafkiri cha muhimu hapo wewe uwe unachange network iwe edge wakati ukiwa hutumii network
 
delete hiyo program
Simu yangu katika siku za karibuni imekuwa na tatizo la betri kuisha haraka bila kuitumia nikaja kugundua kuna program (MUSIC) ina update playlist naombeni msaadajinsi ya ku close nitashukuru sana kwa msaada!!!
 
mkuu una uhakika gani hio app ndio inayomaliza charge? Na sidhani huko ku update playlist kunatumia network as long as inatumia miziki yako ya simu.

Labda unambie kua una mtindo wa kustream miziki ya online. Inaitwaje hio application?

Nafkiri cha muhimu hapo wewe uwe unachange network iwe edge wakati ukiwa hutumii network
mkuu cijakupata sorry

mkuu nipe
 
mwingine mwenye Nokia Asha same model na anapata tatizo kama la mdau hapo?
 
Hiyo nokia inatatizo la charge sana sidhani kama hiyo application inasababisha nilikuwa nayo nikampa mtu ilinishinda sana
 
Mdau charge inaweza kuisha bila kuwa unatumia simu aidha kusikiliza music au kuchat mfano naicharge inakuwa full hadi ninapolala naichomoa then asubuhi nakuta imebaki ba moja...inaweza kuwatatizo la charge kweli??????
 
vipi mkuu kwa hiyo hapo inatakiwa nifanyaje!!!!!!

mkuu ulinunua ikiwa mpya au?,kitu ambacho kinaweza kutumia charge kwa kiasi kikubwa ni kama unatumia wireless,au iko kwenye 3g muda wote,kama si hivi tuta assume kuwa betri yake si nzima au mfumo wake wa power si mzuri,utakuwa unadrain betry,kunakuwa na abnormal power consumption.unaweza ktafuta betry ya simu kama hiyo uangalie,au zima 3g na wireless ukiwa huna matumizi na net,au mpekekee fundi wa simu aiangalie.
 
kwani kuna fundi wa simu kweli????
 
Mdau charge inaweza kuisha bila kuwa unatumia simu aidha kusikiliza music au kuchat mfano naicharge inakuwa full hadi ninapolala naichomoa then asubuhi nakuta imebaki ba moja...inaweza kuwatatizo la charge kweli??????

Nimesikia watu wengi wakilalamika na mimi situmii mziki kwenye simu wala internent na sms mara chache sana simu nazao sio kiviile. Kama sio tatizo la charge mpe maujanja ya kurekebisha hilo tatizo
 
Back
Top Bottom