Tatizo la nishati ya mafuta nchini

Tatizo la nishati ya mafuta nchini

IME

Member
Joined
Oct 30, 2011
Posts
15
Reaction score
0
Nimekuwa nikifuatilia taarifa za habari kwa siku za hivi karibuni, karibia kila siku kwa nama moja au njingine inaonesha kuna tatizo la nishati hiyo. Ninapata mashaka kidogo ninapowaona viongozi wanaohusika kwenye usimamizi na udhibiti wa nishati hii kuzuia na kukemea kwamba wanaotumia internet wanakuza mambo tofauti na hali ilivyo nchini! Wakati taarifa ya habari haijaisha wakaonesha mahari ambapo kuna ukosefu wa petrol, tena ndani ya Dar es Salaam. Siamini ukitenda kazi vyema kwamba utalaumiwa na watu wote.
 
Back
Top Bottom