Tatizo la network

nipe maujuzi ya vitu vzr inatakiwa viweje?
Mkuu hio Ni processor ya zamani ambayo;
-inatumia watts 45 hivyo inakula umeme kuliko cpu za kisasa za watts 4 Hadi 15 kwenye laptop, hii pia itapelekea pia kutokaa na chaji.
-gpu yake Ni ndogo usitegemee kucheza games ama kufanya Mambo mengi ya kisasa Kama kuangalia video za 4K.
-ram na HDD Ni vitu vinavyoongezeka kirahisi hivyo visikushawishi saana wakati unachagua laptop, hasa hizi za used maana wanaochukua laptop ya laki 3 wanaongeza HDD na ram kwa laki 1 then wanakuuzia laki 5.

Sema japo hio processor Ni ya zamani Ni zile za quad-core zenye thread 8 inawafaa watu wanaonfanya rendering na video editing, ndio maana nikasema Kama unajua unachopenda kuifanyia still Ni laptop nzuri.
 
thanks chief

Ahsanteni sana wakuu nimeweka laini ya voda iko sawa lkn kwa zantel ttz lliko pale pale

Anaejua vifurushi vya voda bando kwa bei rahs atupe connection
 
chief msaada jinsi ya kupakua video/movie youtube kwa pc plse,.
Japo kaulizwa chief si mbaya nikijibu pia, kuna program inaitwa Torch browser ni nzuri sana ku download video you tube maana haina expire date kama hizi internet downloader

Ingia google then search Torch browser for pc utapata link ya ku download ni very simple
 
Kama iliset zile za kuzuia kuonekana online, blue tick, kuhide profile nk hii huwq ni sababu ya WhatsApp yako kuwq slow yaani kuchelewa kupokea au kutuma chat
 
Japo kaulizwa chief si mbaya nikijibu pia, kuna program inaitwa Torch browser ni nzuri sana ku download video you tube maana haina expire date kama hizi internet downloader

Ingia google then search Torch browser for pc utapata link ya ku download ni very simple
thax mkuu ngoja niicheck
 
c ndo hyo log yake
1568813944022.jpeg
 
Back
Top Bottom