Tatizo la Mzunguko mbovu wa damu

dos.2020

JF-Expert Member
Feb 17, 2009
9,546
7,845
Naomba ushauri na msaada unaohusiana na tatizo hilo.

Dalili nyingi nilizozisikia ninazo.

Tatizo la nguvu za kiume, Ganzi, kichefuchefu cha mara kwa mara, Miguu kuuma, Viungo kuuma, Mwili kuwa na uchovu mda mwingi, nywele kung'oka kwa wingi, kuumwa kichwa mara kwa mara.
Pia niliwah ambiwa spitali kama nina Digestive problem ambalo pia nalo ni dalili ya ilo tatizo.

Na pia hivi karibuni niliwah kuambiwa na mtabibu mmoja wakati nikitoa damu kama damu yangu ni nzito sana na nyeusi sana. ndipo nilipozidi kuamini juu ya hili tatizo.

Naomba msaada
 
Pole ninaweza kukutibia na ukapona wasiliana na mimi.
Ukiwa na Shida yoyote ile
Usipo pona kwa Dawa za Hospitali nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona ukihitaji matibabu yangu
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili Herbalist mzizimkavu. Au boonyeza hapa.Herbalist MziziMkavu
 
Naomba ushauri na msaada unaohusiana na tatizo hilo.

Dalili nyingi nilizozisikia ninazo.

Tatizo la nguvu za kiume, Ganzi, kichefuchefu cha mara kwa mara, Miguu kuuma, Viungo kuuma, Mwili kuwa na uchovu mda mwingi, nywele kung'oka kwa wingi, kuumwa kichwa mara kwa mara.
Pia niliwah ambiwa spitali kama nina Digestive problem ambalo pia nalo ni dalili ya ilo tatizo.

Na pia hivi karibuni niliwah kuambiwa na mtabibu mmoja wakati nikitoa damu kama damu yangu ni nzito sana na nyeusi sana. ndipo nilipozidi kuamini juu ya hili tatizo.

Naomba msaada
Hapo kwenye nguvu zakiume unaperfom vp
 
Back
Top Bottom