Uzito wako ukoje?Unatoka tu uku nimekaa
Kwa huu ushauri wako ni hakika kabsa utaenda kumuua!Sambamba na kumuona daktari, fanya zoezi la kukimbia, kupiga pushapu ili mwili utoe jasho
Inawezekana damu haifiki vizuri kwenye moyo kutokana na kuganda n.k, ingawa huwa kuna tiba zake baada ya kufanyiwa vipimoKwa huu ushauri wako ni hakika kabsa utaenda kumuua!
Moyo kuuma ni Angina pectoris ambayo sababu kuu ni moyo kukosa oxygen ya kutosha
Kumwambia afanye mazoez ni sawa na kuongeza oxygen demand ambayo itasababisha Hali iwe mbaya zaidi
Nenda hospital wakakupime na watakupatia dawa