Emaster037
Member
- Mar 24, 2018
- 24
- 6
Hili suwezi kujibu, beivzinatofaurmtiana bends dental surgery yeyote wakikufanya check up watakwambiaKwanza naomba ni Kushukuru kwa maelezo yako Mazur pia na ushauri wako naomba kuuliza pia hili HyoKuweka Hyo Risasi Ina Garmu Bei Kias Gani Cha Pesa
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanna Jukwa La Jamii Forums Naombeni Msaada Cjui Nifanye Nn Juu Ya Meno Yangu Kwasababu Wanazidi Kutoboa Na Kupuputika Na Kuisha Kabs Linabaki Pengo 2 Mwenyewe Kujua Chchte Juu ya Kuzuia Hali Hii Tafadhali Naomba Msaada Mpka Saiv Meno Matatu Tyr Yameisha Kabs View attachment 849888
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaka nimeomba 2 ushauri ni Nifanye Kuepuka Titizo HiliSasa hapo kuna cha kuuliza kweli, yaani muenekano wa meno yako tu yanaonyesha yameoza na inabidi yakudondoke. Ushauri, kama ni mpenzi wa kupiga deki kina Mama tafadhali wacha mara moja kwani nayo pia inachangia kutokwa na meno kwa kasi sana.
Shukuruni MkuuMkuu kama upo Dar naenda pale hospitali ya Amana kitengo cha Meno watakusaidia na gharama zao ni rahisi sana. Mwaka 2010 niliziba jino pale hadi leo halijawah kutoboka
Sent using Jamii Forums mobile app
ShukuruniMimi nimeshawahi kuwekewa Risasi na zaidi ya meno 5 sasa yana risasi ,kikubwa unaweza wekewa risasi kama jino halijaaza kutoboka kwa kiasi kikubwa,gharama yake inategemea na namna jino lilivyotoboka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Leta mrejesho Jombaa. Ulifanikiwa kuziba yote? Yameacha kutoboka
Bado halijatoboka hadi leo?Mkuu kama upo Dar naenda pale hospitali ya Amana kitengo cha Meno watakusaidia na gharama zao ni rahisi sana. Mwaka 2010 niliziba jino pale hadi leo halijawah kutoboka
Sent using Jamii Forums mobile app
Najuta kufungua hii picha usiku wangu utakuwa wa Mauzauza.
Pole sana mkuu.
Nipo mtu wangu, tangu siku ile sijakuona tena. (Nimekumiss)Wee mpuuzi umeenda wapi
Usipotee banaaNipo mtu wangu, tangu siku ile sijakuona tena. (Nimekumiss)
Pole SanaWanna Jukwa La Jamii Forums naombeni msaada sijui nifanye nini juu ya meno yangu kwasababu yanazidi kutoboa na kupuputika na kuisha kabisa linabaki pengo tuu mwenyewe sijui chochote juu ya kuzuia hali hii tafadhali naomba msaada Mp Mpaka saiv meno matatu tayari yameisha kabisa View attachment 849888
Sent using Jamii Forums mobile app