Tatizo la mdomo kuwa na ladha na mate kuwa machungu

Mkwawa mnyalukoro

JF-Expert Member
Oct 11, 2017
232
136
Ni mwaka wa pili sasa hili tatizo linanitesa mpaka nimekata tamaa ya kuzunguka hospital zote bila kujua tatizo ni nini, jamani msaada wenu mwenzenu hii hali inanitesa sana.
 
Hata mimi nina tatizo hilo kama lako, hasa nikiamka asubuhi...
 
Back
Top Bottom