mwafa
Senior Member
- Mar 9, 2017
- 116
- 33
wadau habari za muda huu..... Mwenye kufahamu hili naomba anisaidie, MWANZONI NLIKUA NA MAUMIVU KWENYE MOYO, YANI YALIKUA YANAKUJA KAMA KICHOMI NA KUONDOKA.....lakini hali hii ikaisha .ILA SASA HIVI IMERUDI KIVINGINE KABISA YANI TANGU JANA USIKU NASIKIA MOYO UNAUMA BILA KUACHA, HII HALI KIUKWELI INANITESA SANA, NIPO KIJIJINI NA LEO ASUBUHI NIMEENDA ZAHANATI NKAPEWA DAWA ILA HAZIJAONESHA MAFANIKIO .............NAOMBENI MSAADA TAFADHALI