zinginary
JF-Expert Member
- Dec 18, 2015
- 2,467
- 1,686
Okay thanks sana kaka, ngoja nijikusanye siku nikajaribu na huko.Kuna kipindi nakiri kuwa madokta wetu wanafanya kazi kwa kubunia kwa asilimia 80, hii inawezekana ni kwa kukosa vipimo vya kueleweka, mimi sidhani kuwa nchi hii haina wataalamu walio bobea katika maswala ya mfumo wa masikio pia kuna hospital zenye mitambo ya kisasa ya upimaji, kuna hosptal arusha NSK ipo ungalimited, ina vipimo vya kitabibu vya hali ya juu sana japokuwa nasikia gharama zake ni za juu.
View attachment 426981