Namche Bazar
Senior Member
- Apr 8, 2019
- 167
- 272
Hapo hujatenda haki.. huenda amepata kitita??????huenda meneja wa mamlaka ya maji Tanga mjini amepewa kitita cha fedha na kuruhusu maji yote yaende Muheza ili mbunge wa jimbo hilo apate kura?
Sasa unataka tuseme nini, maana sio kawaida kuwanyima maji wateja waliopo na kuwapelekea maji wateja wapya.Hapo hujatenda haki.. huenda amepata kitita?
Nenda kwenye gruop la mlingano uwaulize viongozi wa wilaya ya Muheza, hasa diwani. Wana group lao la whatsapp , utapata jibu, then from there unaweza kwenda mbele. Uko wapi kwani? Pongwe au?Sasa unataka tuseme nini,maana sio kawaida kuwanyima maji wateja waliopo na kuwapelekea maji wateja wapya.
Haiwezekani kwa hali ya kawaida bila kuwa na kiwezeshi,ndio maana tunaiomba taasisi ya kichunguzi TAKUKURU ifanye kazi hiyo ili ithibitike ni kweli au si kweli.
Kwa Tanzania hujuma Kama hii inawezekana, kumbuka wale watumishi wa tanesco walikuwa wanafungulia maji ya bwawa la mtera baada ya kupewa rushwa na wauza majenereta . Ningekuwa Nina madaraka ningenyonga wale watumishi walitutesa Sana na mgao wa umeme.Hio itakuwa sio kawaida TANGA hakunaga shida za maji na moja Kati miji yenye maji na salama
Bila Shaka kutakuwa na uzembe au hujma
Sent using Jamii Forums mobile app