tatizo la maisha bora kwingineko... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

tatizo la maisha bora kwingineko...

Discussion in 'Jamii Photos' started by ngoshwe, Aug 12, 2012.

 1. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #1
  Aug 12, 2012
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
   
 2. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #2
  Aug 12, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Yote tisa nimependa mandhari ya mahala hapa
   
 3. UncleUber

  UncleUber JF-Expert Member

  #3
  Aug 12, 2012
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 4,943
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 145
  najihisi nyumbani.....kumbe JK yupo hadi kwa wakina "hu haaa"
   
 4. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #4
  Aug 12, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,394
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  hao jamaa wanajua sana kutumia raslimali zao .........huwezi kuwafananisha na miafrika vilaza
   
 5. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #5
  Aug 13, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  hii dunia hii haina haki kabisa wengine wanajivunia umilionea wao.
   
 6. Mromboo

  Mromboo JF-Expert Member

  #6
  Aug 13, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 723
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 45
  Good manhari. hata kama wana maisha magumu wanapata hewa saaafiiii!!!!!!! na kuna uwezekano hata mchicha unaota vizuri saana pale. So mboga ipo!!!!!!!!
   
 7. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #7
  Aug 13, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,325
  Likes Received: 2,626
  Trophy Points: 280
  huko kama sio Mashariki ya mbali mitaa ya Cambodia, Laos etc basi ni pande za central america maana huko maisha pinda mbaya watu wanaishi kwa kuuza cocaine, opium na ndumu.
   
Loading...