BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,789
- 288,015
ππππππkama nakuona vile Mkuu umesepa darasani umejificha mahali unakuna pumbu kwa raha zako huku macho yakiwa busy kulinda usalama wa eneo. π€£π€£
Huo ufala ulinipata nikiwa form 3 aisee acha kabisa.
Chanzo nilinunua boxer za mpira Ubungo pale. Zile boxer zilinisababishia hayo matatizo kende zikawa na rangi ya kungu flani na wingu jeusi jeusi usipime hayo maumivu yake. Ilikuwa class sikai halafu kipindi cha joto yanawasha kinoma
Likizo nilikuja nikapata cream na nikabadili boxers na kununua za cotton nikapona. Tangu na hapo sijawahi kulipata tena hilo gonjwa.