Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

Kunamafuta flani hivi nikifika home nitayaangalia jina ili ununue au nikuuzie maana Mimi nilioga sikumoja maji ya chumvi ukanishika umenitesa sana but nilipopata dawa umekwisha kabisa
mkuu fanya ivyo bila ya kukosa na mimi nifurahie tendo la ndoa kama zamani
 
Hiyo ni fungus nenda duka la dawa wakupe dawa ya fungus za pumbu.
Sababu kubwa ni kuvaa chup za kubana na nguo ambazo hazikukauka vizuri pamoja na kurudia nguo za ndani.
Njia nyingine ni kusubiri wakati pale limekakamaa lipakae mafuta ya kupikia then utaoma kuna ukoko ambao unaweza upandua na ukisugua unatoka.
Baada ya hapo utapona kabisa
mkuu juzi nilijaribu kulifanya hilo zoezi lakini matokeo yake mende na panya walijua msosi sikupata usingizi kwa kweli.
 
mkuu unatokea upande wa malawi nini,maana huko na ndiko wanapotumia chupi za vip mpaka leo hii,mi nakupa ushauri zimwagie nyunyizia petrol chukua jiko la mkaa lielekee mpaka petrol yote ikauke utakuwa umepona kabisaaaa!
Avatar yako na ushaur wako mkuu haviendani kabsa,,,hahhshaaaa
 
Nenda duka la dawa ulizia unisten tubel,ukishaoga kausha pumbu kwa kitambaa safi Kausha paka.asubuhi na jioni.ila na shemeji nae atumie.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom