Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

Niliwahi kutumia limau kwa kupaka hiyo sehemu nlikuwa nachanganya na chumvi, ilionesha mafanikio kidogo lakini badae ikashindikana. Labda hii ya kupaka mwili mzima itasaidia
 
Sapart lotion{sina uhakika sana na spelling ila nahisi ni sahihi}hii ndo dawa itakayokusaidia,nimewahi kukumbwa na madhila haya ya fungus kunako nikahangaika sana kutafuta dawa rafiki yangu mmoja akanipa hii dawa,niliona kama miujiza mana nilivyohangaika then nikaja kupona ndani ya wik1 sikuamini.nenda pharmacy hizi za mtaani utaipata
Note:1)wakati wa kujipaka inauma sana jipake palipoathirika baada ya kuoga kutwa mara mbili.
2)usishtuke utakapoona ngozi ya juu inatoka,huwa zile sehemu zilizoathirika hubanduka ile ngozi chafu na kubaki ngozi safi.
Nyongezaia waweza kuitumia popote mwilini palipoathirika na fungus ila kama pana kidonda usiipake direct kwenye kidonda kuepuka maumivu makali ipake pembeni kidogo kidogo mwisho itaizuia kuenea sehemu nyengine na pale palipoathirika pataanza kupona taratibu taratibu.kila la kheir.
 
Grisiofluvine tabs ndio dawa ya hiyo mashida full dosage30tabs
 
Hasante sana
 
Dawa kubwa ya fungus ni kunywa mkojo wako wa kwanza asubuhi utaona zitaisha zenyewe!! Maelezo zaidi google morarji desai alikua waziri mkuu wa India ameelezea kwa ufasaha sana tiba kupitia mkojo.
 
Mwilini mwako huwa kuna fungus tumboni wanaitwa candida,kwa ajili ya kusaidia mmeng'enyo wa chakula,sasa tokana na matatizo ya kiafya kama kisukari,upungufu wa kinga,presha etc,na lifestyle kama matumizi ya madawa antibiotics kupita kiasi,pombe etc ile balance inakuwa affected na hivyo inapelekea candida overgrowith,
sasa wanapoenea mwilini wanaweza kushambulia mdomoni,kooni,kwenye damu au tumboni na kwenye sehemu za siri ,in your case makende,hiyo sasa inaitwa Yeast infection,

jaribu kutumia broadspectrum cream za kupaka,ila madawa yako mengi tu,
epuka kula sukari nyingi kwani hawa fungus wanakula sukari,vitu vya cabohydrate mfano mikate etc ,epuka antibiotics,ningekuwa na mda ningekuwekea full data,huu ugonjwa wakati mwingine huwa unagoma kupona kutokana na chakula ulacho ama matatizo mengine ya kiafya kama ukimwi,kisukari etc
 
Najitahid sana kuepuka vyakula vyenye sukari, nimepima magonjwa yote sina,
 
Kuna mdau humu alielekeza mafuta ya mgando Vaseline unachanganya Na septrin za buku ndan ya simu tatu umepona,nilijarib ilinisaidia saiv naitumia daily sina fangas,kuliko kujiumiza Na malimao.jarib utakija kututhibitishia hapa
 
Ulishawahi kutumia mlonge. Nasikia nao unasaidia matatizo ya fangasi. Jaribu kufanya kautafiti.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…