maishakujipanga
Senior Member
- Feb 13, 2017
- 115
- 116
Niliwahi kutumia limau kwa kupaka hiyo sehemu nlikuwa nachanganya na chumvi, ilionesha mafanikio kidogo lakini badae ikashindikana. Labda hii ya kupaka mwili mzima itasaidiaNakushauri tumia limau , hakikisha ukioga badala ya kupaka mafuta paka maji ya limau mwili mzima Mara tatu kwa siku hasa asbh na usiku unapolala kwa wiki tatu ulete mrejesho hapa.
Pia usije ukachanganya na kitu chochote . zingatia hayo tu.
Nilisumbuliwa na fangas kama yako toka mwaka 1996, lakin saiz sina hata dalili zake kwa sababu nimetibu kwa limau.pole sana