Rukaka2020
Senior Member
- Jun 20, 2020
- 137
- 632
Wadau tangu mwaka huu umeanza nimeanza kuexiperience hali hii ya kukata moto mara tu ninapofika kileleni wakati wa tendo.
Hali hii imenishtua sana kiasi kwamba ninaogopa na ninaona aibu hata kwenda hospitali.
Ninaamini kuwa kuna ambaye ana uzoefu na changamoto hii anaweza kunipa ushauri wa dawa au hatua ya kuchukua.
Asanteni sana.