Naomba msaada wa hili tatizo la kukohoa sana usiku

Mavindozii

JF-Expert Member
Oct 20, 2012
2,111
2,759
Hello Great Thinker ,Pamoja na Madaktari wetu .Nina swali naomba kuuliza please.

Kwenye family member tuna mgonjwa ambaye ameadhirika na ukimwi ,sasa ikifika usiku anakohoa sana sana ila mchana ni mzima kabisa.

Tatizo litakuwa nini wakuu na naombeni kama kuna hiyo dawa ya hicho kikohozi please.

Nilivyompeleka hospital na akagunduliwa ni mwadhirika ni miaka karibia 19 na umri wake umeenda sana 73 years.

Msaada wenu jamani.
 
Halafu kikohoo mara nyingi mchana huwa kinatulia lakini usiku ndio huwa kinaamka sasa, sijajua huwa kuna science gani nyuma ya hili. Wajuzi waje watuelezee
 
Hello Great Thinker ,Pamoja na Madaktari wetu .Nina swali naomba kuuliza please.

Kwenye family member tuna mgonjwa ambaye ameadhirika na ukimwi ,sasa ikifika usiku anakohoa sana sana ila mchana ni mzima kabisa.

Tatizo litakuwa nini wakuu na naombeni kama kuna hiyo dawa ya hicho kikohozi please.

Nilivyompeleka hospital na akagunduliwa ni mwadhirika ni miaka karibia 19 na umri wake umeenda sana 73 years.

Msaada wenu jamani.
Pima moyo na TB
 
Back
Top Bottom