Tatizo la kuzidi kiwango cha homoni ya Prolactin

Prolactin zinakuwa nyingi kipindi cha kujifungua ili mtoto apate chakula chake

Zikiwa nyingi kwenye kipindi cha kawaida ni hatari kwani zinaweza kusababisha utasa,kansa n.k

Dawa ya kutumia ni DA(Dopamine Agonist) kama bromocriptine hivi..hii itaongeza dopamine,..Dopamine ikiwa juu Prolactin inakuwa chini..And vice versa
 
Thank you

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Darmian,
Namimi nina shida hiyo, natumia bromocriptine, kuna dawa nzuri zaidi ya hii ya kufanya kazi haraka?
 
Hii dawa hiii siwezi isahau nilikuwa nameza robo kidonge nalala fofofo

Kama ataandikiwa hii dawa basi ninavyo 10 sijavitumia kabisa anichek nimpe bure ni ghali kidogo
Prolactin zinakuwa nyingi kipindi cha kujifungua ili mtoto apate chakula chake

Zikiwa nyingi kwenye kipindi cha kawaida ni hatari kwani zinaweza kusababisha utasa,kansa n.k

Dawa ya kutumia ni DA(Dopamine Agonist) kama bromocriptine hivi..hii itaongeza dopamine,..Dopamine ikiwa juu Prolactin inakuwa chini..And vice versa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Namimi nina shida hiyo, natumia bromocriptine, kuna dawa nzuri zaidi ya hii ya kufanya kazi haraka?
Nyingine ni Cabergoline (DA)

Ila pia ukienda hospitali wakifanya uchunguzi vizuri kama kuna uvimbe kwenye tezi ya pituitary,utafanyiwa surgery kuondoa uvimbe au utafanyiwa radiation ili kupunguza uzalishwaji wa prolactin
 
  • Thanks
Reactions: PYD
Nyingine ni Cabergoline (DA)

Ila pia ukienda hospitali wakifanya uchunguzi vizuri kama kuna uvimbe kwenye tezi ya pituitary,utafanyiwa surgery kuondoa uvimbe au utafanyiwa radiation ili kupunguza uzalishwaji wa prolactin
Nikimaliza dawa nitaenda kupima tena ikiwa bado nitabadilisha dawa
 
Prolactin ni nini?

Kama ni swala zito la kitabibu kiasi hicho, kiasi kwamba umetuandikia misamiati migumu ili tujue unaugua magonjwa "special" ya kizungu, why don't you go to the hospital and get help?

Wewe umetoka hospital, wakakwambia una hiyo sijui prolactin, halafu unarudi tena kwa watu ngumbaru unatuuliza nifanyeje nina prolactin!

Hukumuuliza huyo daktari kuhusu matibabu ya prolactin?

Kama hukwenda hospital, hilo neno la prolactin ulilitoa wapi? ulijikuta tu unalijua na ukijikuta tu ghafla unaugua prolactin bila kupimwa na daktari?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hospital alihudumiwa na Daktari mmoja, JF kuna madaktari wengi.Kuuliza sio kosa na kauliza kwa manufaa ya wengine pia, wengi tunajifunza kupitia swali lake.
Madoctor wasomi wengine waje watusaidie.
 
Kwani ni lazima kila kitu ucomment. Vitu vingine kama hujui ni bora unyamaze, prolactin ni neno gumu KWAKOO. So kwasababu kuna hospital, JF Doctor ifutwe km ndo hivyo maana haina faida. Sometimes watu wanauliza kupata different professional advice. Usidhani kila mtu hajui kama wewe kijana. GODZILLA,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom