Tatizo la kuwashwa mwili

liwaya

JF-Expert Member
Jan 20, 2014
2,384
1,640
Wanajamvi naomba msaada wa kitabibu kwani mwili unawasha sana kwa takribani mwezi sasa hadi natokewa na kama uvimbe usiku na mchana.

Sijaelewa nifanye nini na tatizo huenda ni nini. Naomba ushauri
 
pole mkuu kuna sababu nyingi zinasababisha mwili kuwasha kama vile÷Allergic Reaction,Dermatitis(Skini infection) au Worms(Minyoo)
Cha Msingi jaribu kwenda hosp ya karibu dr akucheki.
 
Back
Top Bottom