Hii PC ina matatizo haya matatu.
1. Standy by icon not active.
2. Inachukua muda mrefu kuwaka, na niki'restart, haiwaki mpaka nisubiri baada ya nusu saa ndio niiwashe tena.
3. Mwanga wa screen ni mdogo, ila nikichomeka kwenye chaji waongezeka kidogo.
Naombeni msaada...