jlupembeTz
Member
- Oct 28, 2019
- 17
- 2
Kumbe ni "earth road"!Tatizo la kuvuja kwa umeme (Earth Leakage)
Wengi wamekuwa wakilipa bili kubwa za umeme ambazo hata wao wanahisi sio halali ukilinganisha na matumizi yao.
Tatizo la kuvuja kwa umeme limekuwa kubwa sana,bahati mbaya mafundi wengi wamekuwa wakilitatua kwa namna ya kuliongeza badala ya kuliondoa.
Tatizo hili limekuwa likitokea sana katika
nyumba ambazo zinatumia vifaa vya pin tatu yaani live,neutral and earth mfano fridge,pasi,jiko la umeme, n.k.Vile vile linatokea sana katika nyumba yenye wiring iliyo choka au kwenye nyumba ambayo wire zake zimechubuka.
Kwa kawaida kuna vifaa maalumu vya kutambua uvujaji wa umeme katika nyumba kama vile EARTH LEAKAGE CIRCUIT BREAKER ingawaje nyingi zilizofungwa majumbani siku hizi ni FEKI hivyo zinashindwa kujizima pale umeme unapovuja.
Mara nyingi leakage ya umeme huwa
inapimwa kwa kuangalia resistance
between LIVE wire and EARTH wire na kiutaratibu laizima resistance ya wire
hizi mbili izidi 1000000 ohms =1mega
ohms.
Kama endapo itatokea ikwa chini ya hapo moja kwa moja tunaamini kuna gharama za ziada zitakazo ongezeka kutokana na resistance hiyo kushuka chini ya kiwango hicho.
Mfano fundi umeme amepima continuity na kukuta resistance between LIVE wire and EARTH wire is 1000 ohms = 1k ohms.
Mwenye nyumba yenye ukinzani kama huu ataingia gharama ya ziada ambayo inasababishwa na kuvuja kwa umeme.
Kama unahisi unalipa bili ya umeme zaidi ya matumizi yako hakikisha unawasiliana na fundi umeme aje kukupimia continuity ya wiring yako.
ZINGATIA: Kitaalamu uvujaji wa umeme unaopelekea kuongezeka kwa bili ya umeme hakutibiwi kwa kubadilisha EARTH ROAD kama wengi wanavyo fanya, utaweza kuondoa tatizo hilo kwa ku-trace eneo linalo vujisha umeme na kuliondoa.
Hakikisha fundi wako ana kifaa cha kupimia continuity "Mega" ili aweze kitambua resistance between the wires on your circuit.
Any obtained resistance can help to determine the added cost by above formula.
Pendelea kukagua wiring yako kila baada ya miezi sita kwa usalama wa uchumi wako, mali zako na uhai wako.
Joseph Lupembe,
Electrical Installation Domestic and Industrial.
Call/WhatsApp 0769233063/
View attachment 1251681View attachment 1251683View attachment 1251684View attachment 1251685
Pamoja broAsante kwa Elimu Mkuu.
Asante sana mkuu!
kuna mtu nilipata kumsikia akisema kuwa kufanya wiring upy ndio suluhisho bora zaidi....ni kweli?
shukrani mkuuKabla ya kufanya installation mpya inatakiwa fundi aje apime ajue hilo tatizo la kuvuja kwa umeme linasababishwa na nini?
Unaweza ukafanya wayaringi mpya na tatizo likaendelea
Kabla ya kufanya installation mpya inatakiwa fundi aje apime ajue hilo tatizo la kuvuja kwa umeme linasababishwa na nini?
Unaweza ukafanya wayaringi mpya na tatizo likaendelea
Ww unaona nimekosea lakini mm naona nipo sahihi kulingana na lugha niliyotumiaWayaringi = Wiring
Bwana Fundi unamfahamu Ras Simba? Mtembelee walau atakusaidia!
Bwana fundi naona makala yako ume COPY and PASTE kutoka https://faabielectrical.co.tz
Tena ukute keshaliza wengi kwa kujifanya ndiye yeyeHao nao waliicopy hapa jf.Hili andiko ni langu,sema ndo hivyo ku-copy na ku-paste rahisi sana.
Angalau wangekuwa wanamtambua mwandishi ingekuwa kisomi zaidi.
All in all ukiona umeandika kitu harafu watu wanakidurufu,inakufariji kwamba jambo uliloandika linamashiko na ni msaada kwa jamii.
View attachment 1255653Huu ndiyo ufumbuzi wa tatizo la bili kubwa ya umeme
Wengi wamekuwa wakilipa bili kubwa za umeme ambazo hata wao wanahisi sio halali ukilinganisha na matumizi yao. Tatizo la kuvuja kwa umeme limekuwa kubwa sana,bahati mbaya mafundi wengi wamekuwa wakilitatua kwa namna ya kuliongeza badala ya kuliondoa. Tatizo hili limekuwa likitokea sana katika...www.jamiiforums.com
yawezekana ikawa hivyo kama ulivyosema mkuuHao nao waliicopy hapa jf.Hili andiko ni langu,sema ndo hivyo ku-copy na ku-paste rahisi sana.
Angalau wangekuwa wanamtambua mwandishi ingekuwa kisomi zaidi.
All in all ukiona umeandika kitu harafu watu wanakidurufu,inakufariji kwamba jambo uliloandika linamashiko na ni msaada kwa jamii.
View attachment 1255653Huu ndiyo ufumbuzi wa tatizo la bili kubwa ya umeme
Wengi wamekuwa wakilipa bili kubwa za umeme ambazo hata wao wanahisi sio halali ukilinganisha na matumizi yao. Tatizo la kuvuja kwa umeme limekuwa kubwa sana,bahati mbaya mafundi wengi wamekuwa wakilitatua kwa namna ya kuliongeza badala ya kuliondoa. Tatizo hili limekuwa likitokea sana katika...www.jamiiforums.com
Hao nao waliicopy hapa jf.Hili andiko ni langu,sema ndo hivyo ku-copy na ku-paste rahisi sana.
Angalau wangekuwa wanamtambua mwandishi ingekuwa kisomi zaidi.
All in all ukiona umeandika kitu harafu watu wanakidurufu,inakufariji kwamba jambo uliloandika linamashiko na ni msaada kwa jamii.